SEMINA YA MAJIDILIANO YA SEKTA BINAFSI KUHUSU SOKO LA PAMOJA LA AFRIKA (AFCFTA)

  • Posted on May 29, 2023 09:57

Bw. Ally S. Gugu Naibu katibu Mkuu- Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara katika picha ya pamoja kwenye semina ya Majidiliano ya Sekta binafsi kuhusu Soko la pamoja la Afrika (AfCFTA) yanayoendelea leo na kesho (15-16 Feb,2023) katika Hoteli ya Four Points by Sheraton-Dar es salaam. Ambapo viongozi wa sekta binafsi, Serikali na Wafanyabiashara wanashiriki.